• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yatoa msaada wa tani elfu 1.5 za michele kwa Sudan Kusini

  (GMT+08:00) 2017-08-11 18:48:04

  Serikali ya China imekabidhi tani elfu 1.5 za michele ikiwa msaada wa dharura wa chakula kwa Sudan Kusini inayokabiliwa na njaa.

  Mwezi wa Aprili, serikali ya China iliahidi kutoa tani elfu 8.8 za mchele kwa nchi hiyo ili kuisaidia kupambana na uhaba wa chakula.

  Kaimu balozi wa China nchini Sudan Kusini Bw. Li Xiangfeng amesema, awamu ya kwanza ya kontena 60 za mchele imedhibitiwa kwa kamati ya msaada na ustawi ya Sudan Kusini na mchele zaidi itapelekwa nchini humo katika miezi kadhaa ijayo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako