• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya vifo kutokana na ajali ya treni nchini Misri yafikia 49

  (GMT+08:00) 2017-08-12 17:20:43

  Idadi ya vifo kutokana na ajali ya treni iliyotokea katika mkoa wa Alexandria, Misri imeongezeka hadi kufikia watu 49.

  Kabla ya hapo wizara ya afya wa Misri ilitangaza kuwa watu 36 walipoteza maisha huku zaidi ya watu 120 walijeruhiwa katika ajali ya treni mbili zilizogongana mashariki ya mji wa Alexandria na kueleza kuwa idadi ya vifo inaweza kuongezeka kutokana na majeruhi wengi kuumia vibaya.

  Naye rais wa nchi hiyo Abdel-Fattah al-Sisi azitaka idara za serikali kuwajibika kusaidia uokoaji na kufanyika uchunguzi wa haraka wa chanzo cha ajali hiyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako