• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la Marekani lasababisha vifo vya raia 16 nchini Afghanistan

  (GMT+08:00) 2017-08-12 17:56:37

  Serikali ya mkoa wa Nanagarhar nchini Afghanistan jana imesema jeshi la Marekani nchini humo tarehe 10 lilifanya shambulizi la anga kwenye mkoa huo, gari moja lilishambuliwa na raia 16 waliokuwa garini waliuawa.

  Raia hao walikuwa njiani kuepusha makundi ya siasa kali. Kati yao kulikuwa na watoto na wanawake.

  Msemaji wa serikali ya mkoa wa Nanagarhar Bw. Attaullah Khogiani jana pia amethibitisha tukio hilo, amesema serikali inafanya uchunguzi kuhusu tukio hilo, na itatangaza habari zaidi baadaye.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako