• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Thamani ya biashara kati ya China na Ethiopia mwaka jana yafikia dola za kimarekani bilioni 5.4

  (GMT+08:00) 2017-08-13 16:33:27

  Takwimu zilizotolewa na wizara ya biashara ya Ethiopia zinaonesha kuwa, mwaka 2016 thamani ya biashara kati ya China na Ethiopia imefikia dola za kimarekani bilioni 5.4.

  Wizara ya biashara ya Ethiopia imesema, kuongezeka kwa biashara kati ya China na Ethiopia kumenufaika na kuanzishwa kwa Baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika mwaka 2010, na baraza hilo limetoa fursa muhimu kwa China na bara la Afrika kufanya mazungumzo na ushirikiano wa kirafiki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako