• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Algeria lakamata silaha 40 kwenye mpaka na Mali

    (GMT+08:00) 2017-08-14 10:05:58

    Wizara ya ulinzi ya Algeria imesema kuwa jeshi la Algeria limekamata silaha 40 na risasi nyingi kwenye mpaka kati yake na Mali.

    Jeshi la Algeria lilifanya doria huko Bordj Badji Mokhtar, eneo la magharibi karibu na mpaka kati ya Algeria na Mali, na kugundua handaki moja lenye silaha na risasi nyingi.

    Hii si mara ya kwanza kwa jeshi la Algeria kugundua silaha ndani ya handaki kwenye eneo la mpaka wa magharibi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako