• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wanane wahofiwa kufa baada ya boti kupinduka pwani ya Kenya

    (GMT+08:00) 2017-08-14 18:13:58

    Watu wanane wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti ya abiria waliyopanda kupinduka kutokana na mawimbi makali kwenye Bahari ya Hindi.

    Kamishna wa kaunti ya Lamu Joseph Kanyi amesema, mtu mmoja ameokolewa akiwa hai na maiti moja imetolewa kwenye boti hiyo iliyokuwa na wanafamilia 11 wakati ikipinduka katika eneo la Kizingitini jana usiku.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako