• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bralirwa mapato yake imeshuka kwa asilimia 3.5

    (GMT+08:00) 2017-08-14 19:26:39

    Kampuni kubwa nchini Rwanda ya kutengeneza mvinyo na vinywaji tamu Bralirwa faida yake ya nusu mwaka imeshuka kwa asilimia 3.8 na kufikia franc bilioni 41.3, kutoka franc bilioni 43 iliyorekodiwa kipindi kama hicho mwaka jana, taarifa ya kifedha ya kampuni inaonyesha.

    Kampuni la vinywaji limesema kushuka kwa faida yake kumesababishwa na kiasi cha mauzo yake kupungua kwa asilimia 15.4.

    Kampuni hiyo ilibainisha kuwa kiwango cha mauzo kilipungua kwa kiasi kikubwa kutokana na kuongezeka kwa bei ya vinjwaji tamu na bia kutekelezwa mwezi Agosti 2016 na Januari mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako