• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Namibia yasema homa ya Kongo imedhibitiwa

    (GMT+08:00) 2017-08-15 09:15:40

    Namibia imesema homa ya Kongo iliyosababisha kifo cha mtu mmoja na na wengine watatu kulazwa imedhibitiwa. Kaimu katibu mkuu wa wizara ya afya ya Namibia Bibi Bertha Katjivena amesema kwenye taarifa kuwa watu hao watatu wametibiwa na kuruhusiwa kuondoka hospitali, na madaktari wa mifugo na wadau wengine wanashirikiana kwa karibu na timu ya madaktari kudhibiti maambukizi ya homa hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako