• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wachezaji wa Cranes watajwa timu ya Africa Rugby Gold Cup ya mwaka

    (GMT+08:00) 2017-08-15 10:14:57
    Nahodha wa timu ya taifa ya raga ya Uganda - Rugby Cranes, Brian Odongo, beki Phillip Wokorach na kiungo wa kati Michael Wokorach wamejumuishwa katika kikosi cha wachezaji bora katika mashindano ya Africa Rugby Gold Cup.

    Wakati Odongo na nahodha msaidizi Wokorach walidhani wamekuwa wakicheza vizuri katika mashindano mbalimbali kando na iliyokamilika ya Gold Cup, bado walisifika katika michezo yao na wakashangaa walipotajwa katika kikosi cha wachezaji bora.

    Akizungumza baada ya kupata habari hizo, Odongo alikiri kuwa alipata mshangao kwani kwa maoni yake hakuwa amecheza vyema zaidi. Matamshi yake yaliungwa mkono na Wokorach ambaye alidai kuwa japo ameshikiri mashindano kabambe, hakuwa katika hali nzuri katika mashindano ya Gold Cup.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako