• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waokoaji kutoka China wasema maporomoko ya udongo nchini Sierra Leone ni mabaya

    (GMT+08:00) 2017-08-15 18:48:39

    Waokoaji kutoka China walioko kwenye eneo lililotokea maporomoko mabaya ya udongo pembezoni mwa mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, wamesema kuwa janga hilo ni kubwa kuliko ilivyotarajiwa.

    Mvua kubwa iliyonyesha jumatatu ilisababisha sehemu kunwa ya mlima kuanguka, hivyo kuwafanya watu karibu milioni 1.2 wanaoishi kwenye mji wa mlimani wa Regent kukwama.

    Taarifa zinasema, miili ya watu imezikwa chini ya vifusi vya nyumba zilizobomolewa au zinazoelea kwenye maji. Awali, Shirika la habari la Sierra Leone lilisema kuwa zaidi ya watu 300 wamefariki katika maporomoko ya udongo na mafuriko yaliyotokea jumatatu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako