• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usafirishaji wa mizigo kwa ndege barani Afrika waongezeka kwa asilimia 31.6

    (GMT+08:00) 2017-08-15 19:01:49

    Takwimu zilizotolewa na shirika la kimataifa la usafirishaji wa mizigo kwa ngede IATA zimeonyesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, usafirishaji wa mizigo kwa ndege barani Afrika umeongezeka kwa asilimia 31.6, ambalo ni ongezeko la kasi zaidi katika miaka saba iliyopita, na wakati huo huo, uwezo wa kubeba mizigo umeongezeka kwa asilimia 7.6.

    Mahitaji ya usafirishaji wa mizigo kwa ndege katika nusu ya kwanza ya mwaka huu yameongezeka kwa asilimia 25.9, yakiongoza katika kanda nyingine duniani, kutokana na kuongezeka kwa biashara kati ya China na Afrika, ambayo katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, iliongezeka kwa asilimia 60.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako