• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyakazi wa SGR wapewa kandarasi

    (GMT+08:00) 2017-08-15 19:11:15
    Zaidi ya wakenya 300 walioajiriwa kwenye treni mpya ya abiria kutoka Mombasa-Nairobi wamepewa kandarasi za mwaka mmoja.

    Waliopata kandarasi hizo ni pamoja na wahudumu ndani ya treni na mafundi ambao wamekuwa wakifanya kazi tangu mwezi Aprili.

    Mwezi uliopita wafanyakazi hao walikuwa wamelalamikia kutokuwa na kandarasi na kutishia kugoma.

    Reli hiyo ya kilomita 472 sasa inahudumu kati ya Nairobi na Mombasa lakini kuna mipango ya kuwa na vituo vya katikati hivi karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako