• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakulima Rwanda waitaka serikali kuanzisha benki ya kilimo

    (GMT+08:00) 2017-08-15 19:11:46

    Wakulima nchini Rwanda wanaitaka serikali kuanzisha benki ya kilimo wakisema kupata mikopo kwenye benki za kibiashara ni vigumu.

    Wanasema sekta ya kilimo ambayo inaajiri asilimia 70 ya wakaazi na kuchangia asilimi 30 ya pato la kitaifa na hivyo benki ya kilimo inahijika ili kuwezesha wakulima kufanikisha zaidi shughuli zao.

    Rais wa chama cha wakulima wa kahawa nchini humo Theopiste Nyiramahoro, amesema benki za kibiashara zina mahitaji ya juu kwa wakulima na pia kuna mchakato mrefu wa kupata mikopo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako