• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia yaingiza dola za Marekani 271 kutokana na mauzo ya maua nje ya nchi

    (GMT+08:00) 2017-08-16 09:45:32

    Ethiopia imepata dola milioni 271 za kimarekani kutokana na mauzo ya maua na bidhaa nyingine za kilimo cha maua katika mwaka wa fedha uliopita.

    Mamlaka ya uwekezaji wa kilimo cha maua imebainisha kiasi hicho cha fedha kilichopatikana katika mwaka wa fedha uliopita, na kueleza kuwa shughuli mbalimbali zinafanywa ili kuongeza kiwango cha maua na mazao mengine ya kilimo cha maua, wakati wa kuanza mwaka mpya wa fedha.

    Chama cha wazalishaji na wauzaji nje wa kilimo cha maua nchini Ethiopia, kimeeleza umuhimu wa kuendeleza bidhaa za maua kutoka nchini humo katika masoko zaidi ya kimataifa kama China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako