• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mfalme wa Saudi Arabia aamuru kuwafungulia mpaka mahujaji wa Qatar

    (GMT+08:00) 2017-08-17 09:10:18

    Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulaziz Al Saud ametoa amri ya kuwaruhusu mahujaji wa Qatar kuingia nchini humo kupitia forodha ya Salwa bila vibali vya kielektroniki. Amri hiyo imetolewa kutokana na uingiliaji wa kiongozi wa Qatar shehe Al Thani. Mfalme huyo pia ameamuru ndege za Saudi kuwasafirisha mahujaji wa Qatar kwenda kufanya hija kwa gharama zake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako