Kwenye utafiti wa Economist Intelligence Unit,Nairobi imepewa nafasi hiyo kutokana na kuboreshwa kwa sekta za afya,elimu,miundo msingi ,utamaduni na mazingira.
Roisin Miller mdau wa masuala ya biashara ustawi wa jiji katika biashara na maisha ndio sababu kuu ya ongezeko la shughuli za biashara .
Orodha hii imetolewa baada ya utafiti uliofanywa katika sekta za utalii ,uwekezaji na kampuni zilizoajiri watu.
Hata hivyo juhudi za kupunguza uharibifu wa mazingira zimetakiwa kuongezwa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |