• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • ukosefu wa ajira waponza maendeleo ya vijana Uganda

    (GMT+08:00) 2017-08-17 18:29:17
    Ripoti mpya iliyotolewa na makundi ya vijana imeonyesha ukosefu wa ajira bado unasalia changamoto kuu katika ukuwaji wa kiuchumi miongoni mwa vijana.

    Kwa mujibu wa Mastercard foundation ,vijana wa EAC wanaendelea kusaka kila mbinu za kuendeleza ujuzi wao pamoja na kujitafutia ajira .

    Hilda Namakula mtafiti wa Uganda amesema bado vijana hawajapewa fursa za kushiriki kikamilifu kwenye kazi na kutoa maamuzi .

    Utafiti huo umelalamikia kwamba ijapokuwa fursa za ajira ni chache miongoni mwa vijana waliohitimu katika nchi hizi,serikali zinatakiwa kutoa ushirikiano na wakati kwa vijana ili kusikia changamoto zao na kuwawezesha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako