• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Semina ya uongozi ya nchi za BRICS yafungwa

    (GMT+08:00) 2017-08-18 18:31:43

    Semina ya siku mbili kuhusu uongozi ya nchi za BRICS imefanyika kuanzia jana huko Quanzhou, mkoani Fujian, na kuhudhuriwa na watu zaidi 160 kutoka nchi za BRICS na nchi nyingine zinazoendelea.

    Kauli mbiu ya semina hiyo ni "kufungua mlango, kunufaishana na kujenga mustakabali wa pamoja wa binadamu". Semina hiyo imepitisha makubaliano ya Quanzhou, yanayoelekeza kuwa, nchi za BRICS zinapaswa kutoa kipaumbele kujiendeleza, kufanya ushirikiano wa kunufaishana, kujitahidi kushiriki kwenye utawala wa dunia, na kuimarisha maingiliano ya kitamaduni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako