• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Kagame wa Rwanda aliyechaguliwa tena aapishwa kushika madaraka

    (GMT+08:00) 2017-08-19 18:00:35
    Rais Paul Kagame wa Rwanda aliyechaguliwa tena tarehe 18 huko Kigali ameapishwa kushika madaraka ya urais.

    Katika sherehe ya uapishaji, rais Kagame aliapishwa mbele ya jaji mkuu na baadaye alikagua gwaride .

    Rais Kagame amesema kuwa tangu kumalizika kwa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994, watu wa Rwanda walishikamana na kuheshimiana, wakirudisha uhusiano wa kijamii. Pia amesema kuwa kuna aina mbalimbali za maendeleo za nchi duniani, mafanikio ya nchi yoyote yanategemea kujiendeleza, Rwanda itaendelea kujenga uhusiano wa kirafiki na ushirikiano halisi na marafiki wengine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako