• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mechi za kwanza za ligi kuu Hispania-La Liga: Ramos alimwa kadi nyekundu

  (GMT+08:00) 2017-08-21 09:06:20

  Nahodha wa Real Madrid, Dergio Ramos amepigwa kadi nyekundu katika mechi ya kwanza ya ligi kuu ya Uhispania (La Liga) wakati Madrid walipomenyana na Derpotivo la Coruna.

  Ramos alipewa kadi mbili za njano na kuzaa nyekundu wakati timu yake Madrid ikimaliza kwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0. Mabao ya Madrid yalifungwa na Gareth Bale, Casemiro na Toni Kroos.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako