• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wizara ya biashara ya China yalalamika Marekani kuanzisha uchunguzi wa biashara dhidi ya China

    (GMT+08:00) 2017-08-21 18:40:54

    Wizara ya biashara ya China imesema, Marekani haikuwajibika kwa kufanya uchunguzi wa biashara dhidi ya China kutokana na sheria yake tu bila ya kutekeleza utaratibu wa shirika la biashara duniani, na China inalaani vikali kwa kitendo hicho cha kujilinda cha upande mmoja.

    Wizara hiyo imesema China inaona kuwa Marekani inapaswa kufanya juhudi kwa pamoja na China, kuhimiza mpango wa mwaka mmoja wa ushirikiano wa uchumi, ili kupata mafanikio makubwa zaidi na kuufanya uhusiano wa uchumi na biashara kati ya China na Marekani usonge mbele kwenye njia ya utulivu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako