• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Orodha ya awamu ya 11 ya watu wanaopata tuzo ya mchango maalum ya vitabu vya China yatolewa

    (GMT+08:00) 2017-08-22 18:00:38

    Orodha ya awamu ya 11 ya watu wanaopata tuzo ya mchango maalum ya vitabu vya China imetolewa.

    Watu 20 kutoka nchi 18 wamepata tuzo hiyo, wakiwemo wachapishaji Harold Weldon kutoka Australia na Richard Charkin kutoka Uingereza, mwandishi Jonathan D. Spence wa Marekani na Laszlo Bardi kutoka Hungary.

    Tuzo hii iliyoanzishwa mwaka 2005 ikiwa ni tuzo muhimu zaidi inayotolewa na sekta ya uchapishaji ya China kwa nchi za nje, inalenga kuwapongeza waandishi, watafsiri na wachapishaji wanaotoa mchango mkubwa katika kutangaza China, utamaduni na vitabu vya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako