• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Barcelona yapanga kumshtaki Neymar, yataka ilipwe Pauni milioni 7.8

  (GMT+08:00) 2017-08-23 09:09:46

   

  Klabu ya Barcelona imepanga kumshitaki Neymar ikidai ilipwe pauni milioni 7.8.

  Klabu hiyo inaamini kuwa Neymar alikiuka makubaliano ya mkataba wakati akihamia PSG aliyojiunga nayo kwa kitita cha pauni milioni 198.

  Barcelona inataka ongezeko la asilimia 10 katika mauziano hayo ikisisitiza inatakwa ilipwe.

  Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Brazil alivunja rekodi ya uhamisho kwa kitita cha pauni milioni 200 kwa timu hiyo ya Ufaransa mnamo mwezi Agosti baada ya kununua kandarasi yake katika klabu ya Barcelona .

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako