• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Chama tawala cha Angola chatarajiwa kupata ushindi kwenye uchaguzi nchini humo

  (GMT+08:00) 2017-08-25 09:30:12

  Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Angola yameonyesha kwamba, mgombea Joao Lourenco kutoka chama tawala cha MPLA, amepata asilimia 64.57 ya kura zilizohesabiwa.

  Hadi sasa kura milioni 5.9 zimehesabiwa ambazo ni asilimia 63.74 ya kura zote. Chama cha UNITA kimepata asilimia 24.4, na chama cha CASA-CE kimepata asilimia 8.65.

  Habari zinasema matokeo hayo pia yameonesha zaidi ya watu milioni 1.3 ambao ni asilimia 18.64 hawakupiga kura.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako