• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Dhoruba ya Harvey yasababisha vifo vya watu sita Texas, Marekani

  (GMT+08:00) 2017-08-28 08:56:56

  Vifo vya watu sita vimeripotiwa baada ya dhoruba ya Harvey kulikumba jimbo la Taxas Ijumaa usiku. Kikosi cha ulinzi wa pwani cha Marekani kimejitahidi kuwaokoa watu waliokwama baada ya maji kuendelea kufurika mjini Houston na maeneo ya karibu. Mpaka sasa kaunti 80 zimetangazwa kuathiriwa na maafa hayo, na viwanja viwili vikuu mjini Houston vimefungwa kutokana na mafuriko makubwa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako