• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa UN asema China ni kiongozi katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

    (GMT+08:00) 2017-08-29 09:18:52

    Katibu mtendaji wa Mkataba wa Umoja wa mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa Bi. Patricia Espinosa amepongeza uongozi wa China katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, na kusema juhudi zinazofanywa na China zimezihamasisha nchi nyingi kukabiliana na suala hilo. Bi. Espinosa amesema hayo mjini Beijing katika ziara yake ya kwanza nchini China. Amesema China ikiwa ni mmoja wa viongozi muhimu duniani kwenye kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, imefanya juhudi chanya kulingana na wazo la maendeleo endelevu bila uchafuzi wa mazingira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako