• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wapiganaji wa kundi la IS waanza kuondoka kwenye maeneo yao ya mwisho mkoani Qalamoun nchini Syria

  (GMT+08:00) 2017-08-29 16:40:47

  Wapiganaji 700 wa kundi la IS pamoja na familia zao wameanza kuondoka kwenye ngome yao ya mwisho katika mkoa wa magharibi wa Qalamoun wakielekea mji wa mashariki wa Bukamal nchini Syria.

  Wakati huohuo, Shirika la Hilal Nyekundu la Syria limewapeleka wapiganaji 25 wa kundi hilo waliojeruhiwa katika hospitali mbalimbali mjini Qasa kwa ajili ya matibabu.

  Hii ni mara ya kwanza kwa wapiganaji wa kundi la IS kuondoka kwenye eneo wanalolidhibiti chini ya makubaliano na katika mabasi yaliyotolewa na serikali ya Syria.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako