• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Wauzaji wa kahawa Uganda kupewa mafunzo kabla ya shidano la bidhaa hiyo

    (GMT+08:00) 2017-08-29 20:38:31

    Mamlaka ya kahawa nchini Uganda UCDA kwa ushirikino na shirika la

    African Fine Coffees watatoa mafunzo maalum kwa wauzaji wa kahawa wapato 20 ili kuwaandaa kwa shindano la bidhaa hiyo.

    Wakati wa mafunzo hayo, wauzaji wa kahawa watafunzwa njia za kuboresha kahawa yao, usindikaji, ukaushaji na usimamizi.

    Aidha watapa mafunzo kuhusu jinsi ya kuuza kahawa yao nchini Marekani chini ya makubaliano ya AGOA,

    Mkurungezi wa huduma za uratibu Edmund Kananura, amesema shidano hilo litafanyika kati ya Januari 22-26, mwaka 2018.

    Washidani wataonyesha kahawa yao na anayepata zaidi ya asilimia 80 ya alama zilizowekwa atawekwa kwenye orodha ya wtu wenye kahawa bora nay a bei ya juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako