• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa tisa wa viongozi wa nchi za BRICS kufanyika huko Xiamen, China

    (GMT+08:00) 2017-08-30 09:05:02
    Mkutano wa tisa wa viongozi wa nchi za BRICS kufanyika huko Xiamen, China Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang ametangaza kuwa mkutano wa tisa wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika Septemba 3 hadi 5 huko Xiamen mkoani Fujian, China, ambao kaulimbiu ya mkutano huo ni "Kuzidisha uhusiano wa kiwenzi kati ya nchi za BRICS, Kutafuta Siku za Baadaye yenye Matarajio Mema zaidi." Wakati wa mkutano huo, mazungumzo ya nchi zinazojitokeza kiuchumi na nchi zinazoendelea yenye kaulimbiu ya "Kuimarisha Ushirikiano wa Kunufaishana, Kuhimiza Maendeleo ya Pamoja" pia yatafanyika.

    Imefahamika kwamba, rais Xi Jinping wa China ataendesha mkutano huo na mazungumzo hayo na kushiriki katika shughuli husika za ufunguzi wa mkutano wa baraza la biashara na viwanda la nchi za BRICS.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako