• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ufaransa kuandaa mkutano wa kimataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa

    (GMT+08:00) 2017-08-30 09:05:44

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametangaza kuwa Ufaransa itaandaa mkutano wa kimataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa utakaofanyika Desemba 12 mjini Paris, kwa lengo la kutathmini maendeleo mapya ya Makubaliano ya Paris, kuhamasisha fedha na kuendelea kuhimiza utekelezaji wa makubaliano hayo. Rais Macron amesema kufikiwa kwa makubaliano ya Paris ni mfano wa juhudi za pamoja za diplomasia ya pande nyingi, na atafanya juhudi kadri awezavyo kufanikisha makubaliano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako