• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Uganda yalaumiwa kutochukua hatua imara kutoka na maporomoko ya udongo

    (GMT+08:00) 2017-08-30 09:26:36

    Maporomoko ya udongo Mashariki mwa Uganda yamesababisha uharibifu mkubwa wa mali na Majengo. Wadadisi wa maswala ya kijamii nchini humo wamekuwa wakikosoa mwitikio wa serikali, ikiwa ni pamoja na kutotoa tahadhari kuhusu hatari mvua, na hata kutofanya juhudi za kutosha kuwahamisha wakazi baada ya maporomoko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako