• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watanzania wahimizwa kutumia kadi za ATM kununua bidhaa

    (GMT+08:00) 2017-08-30 20:02:16

    Watanzania wamehimizwa kuendelea kutumia kadi za ATM katika kufanya manunuzi yao ya kila siku.

    Mkuu wa kitengo cha malipo ya kadi wa Benki ya Barclays,Philbert Kasmir amesema ushirikiano wa benki hiyo na duka la GSM ni juhudi zao za kupeleka huduma karibu kwa wateja wao na kukuza ushirikiano wao na kampuni nyengine za ndani.

    Amesema wateja wa benki hiyo wanweza kupata punguzo la asilimia 15 katika manunuzi yao katika maduka ya GSM kwa kulipia kidogo na kupunguza gharama za manunuzi ya kila siku.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako