• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda-COMESA kutangazwa kama kituo kimoja cha utalii

    (GMT+08:00) 2017-08-30 20:03:07

    Baraza la Biashara (CBC) la Soko la pamoja la mashariki na kusini mwa Afrika (COMESA) wiki hii litazindua kitabu cha kikanda cha utalii nan a kuitangaza jumuiya ya COMESA kama kituo kimoja cha utalii.

    Kitabu hicho ni sehemu ya mfumo endelevu wa utalii na maendeleo ambao ulichukuliwa na nchi wanachama kama muundo wa kuunda mipango ya utekelezaji ili kukuza ushindani katika sekta ya utalii.

    Aidha mpango huo unalenga kuongeza uhamasishaji kuhusu utalii endelevu na uhifadhi wa wanyamapori katika nchi 19 wanachama wa COMESA.

    Kitabu hicho kilichopewa jina 'The COMESA Tourism and Wildlife Heritage Handbook' kitazinduliwa wakati wa mkutano wa kilele wa 47 wa Urithi wa Dunia na Utalii utakaoandaliwa jijini Kigali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako