• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Polisi Kenya yawasaka wapiganaji wa Al-Shabaab baada ya shambulizi kutokea mpakani

    (GMT+08:00) 2017-08-31 09:52:37

    Serikali ya Kenya imesema, vikosi vya usalama vinawasaka wapiganaji wa kundi la Al-Shabaab ambao waliharibu mnara wa mawasiliano ya simu unaomilikiwa na kampuni ya simu ya Safaricom katika kaunti ya Mandera.

    Naibu kamanda wa kaunti hiyo Bw. Daniel Bundotich amesema, polisi walijibizana risasi na wapiganaji hao kabla ya kukimbilia nchini Somalia.

    Amesema, operesheni inaendelea kuwasaka washambuliaji hao ambao walitoka Somalia kufanya mashambulizi nchini Kenya.

    Amesema lengo la shambulizi hilo ni kuharibu mawasiliano ni kuzuia vikosi vya usalama kufika mapema katika eneo hilo kama tukio lolote likitokea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako