• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Waziri mkuu mpya wa Rwanda aapishwa

  (GMT+08:00) 2017-08-31 10:08:26

  Waziri mkuu mpya wa Rwanda Edouard Nigirente ameapishwa mjini Kigali, baada ya kuteuliwa na rais Paul Kagame wa nchi hiyo mapema jana.

  Kwenye hafla ya kuapishwa kwa waziri mkuu huyo, rais Kagame amesema ana imani na uwezo wa Bw. Nigirente na nia yake ya kufikia mafanikio kama wanavyotarajia wananchi wa Rwanda.

  Kwa mujibu wa katiba ya Rwanda, waziri mkuu anateuliwa ndani ya siku 15 baada ya rais mpya kuapishwa, mawaziri wengine wanateuliwa ndani ya siku 15 tangu kuteuliwa kwa waziri mkuu mpya.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako