• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yataka majukumu ya vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa nchini humo yapitiwe upya

    (GMT+08:00) 2017-08-31 10:15:21

    Sudan Kusini imetaka majukumu ya kikosi kipya cha ulinzi cha kikanda RPF kilicho chini ya Tume ya Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo UNMISS yaangaliwe upya, kwa madai kuwa nchi hiyo haijaridhika na utendaji wa kikosi hicho.

    Msemaji wa serikali ya nchi hiyo Bw. Michael Makuei amesema, chini ya mfumo wa sasa, RPF imetoa msaada kidogo kwa Sudan Kusini kwa kuwa hakuna tena tishio la vurugu katika mji wa Juba baada ya mapigano kati ya vikosi vinavyopingana yaliyotokea mwaka jana.

    Bw. Mukuei amesema, serikali ya Sudan Kusini itakataa kupokea majukumu mapya ya RPF mwezi Desemba kama Baraza la Usalama likishindwa kuangalia upya majukumu ya kikosi hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako