• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 10 wauawa katika shambulizi la mabomu nchini Syria

    (GMT+08:00) 2017-08-31 16:45:23

    Watu 10 wameuawa na wengine 28 wamejeruhiwa katika shambulizi la mabomu katika jimbo la Deir ez-Zor, Syria.

    Habari zinasema watu wa jimbo hilo walipojaribu kukimbia kutoka eneo linalodhibitiwa na kundi la IS hadi jimbo la Hasakah, walikumbwa na mabomu ya njiani. watu waliojeruhiwa wamepelekwa hospitali.

    Habari nyingine zinasema, jeshi la serikali la Syria limepanga kutwaa tena udhibiti wa jimbo la Deir ez-Zor.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako