• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: Wadau wa sekta ya utengenezaji nguo kukutana Tanzania.

    (GMT+08:00) 2017-08-31 19:17:58

    Wadau wa sekta ya utengenezaji nguo Afrika Mashariki wanatarajiwa kukutana baadaye mwezi ujao nchini Tanzania.

    Mkutao huo wa septemba 26-28 unalenga kuwakutanisha wapanzi wa pamba wasanifu na wenye viwanda vya nguo.

    Utaandaliwa na baraza la kibiashara la Afrika Mashariki.

    Mkrungezi wa baraza hilo Lilian Awinja aesema sasa umefika wakati kwa watengenezaji wa afrika Mashariki kuanza kutengeneza nguo za bei nafuu ili kuondoa uagiziaji wa mitumba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako