• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu watatu wauawa baada ya magari yao kushambuliwa mashariki mwa Kenya

    (GMT+08:00) 2017-09-01 08:28:22

    Polisi nchini Kenya wamesema watu watatu wameuawa baada ya magari waliyokuwa wanasafiria kushambuliwa na wanamgambo wasiojulikana, kwenye barabara kutoka Carsen hadi Lamu, mashariki mwa Kenya. Kamanda wa polisi kaunti ya Lamu Bw. Gilbert Kitiyo, amesema lori moja na gari moja dogo yalishambuliwa kwa mabomu na kufyatuliwa risasi na wanamgambo. Hadi sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako