• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Iraq atangaza kukombolewa kwa Tal Afar kutoka kwa kundi la IS

    (GMT+08:00) 2017-09-01 08:28:46

    Waziri mkuu wa Iraq Bw. Haider al-Abadi, ametangaza kuwa mji wa Tal Afar na maeneo ya karibu umekombolewa kikamilifu kutoka kwa wapiganaji wa kundi la Islamic State. Ushindi huo una maana kuwa mkoa mzima wa Nineveh umekombolewa kutoka kwa kundi hilo. Bw. Al-Abadi pia amesema wapiganaji wa kundi la IS kote nchini Iraq watashindwa, na kusema mashujaa wa jeshi la Iraq watakomboa maeneo yote walipo wapiganaji wa IS.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako