• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wabunge waliochanguliwa na kuteuliwa katika Bunge la 12 waliapishwa jana Bungeni

    (GMT+08:00) 2017-09-01 10:15:25

    Wabunge waliochanguliwa wote kwa jumla ni 336. Idadi ya wanawake Bungeni ikiongezeka kutoka 16 hadi 22, ambayo bado inaonekana kuwa chini.

    Idadi ya wanawake bungeni inaendelea kuongezeka ikilinganishwa na uchanguzi wa mwaka wa 2013. Wanawake waliofaulu kuingia Bungeni wakati huu, ni 22 ongezeko la idadi ya mwaka 2013.

    Maeneo mengine, ikionekana mwanamke kuchanguliwa kwenye kiti Na katika maeneo mengine, mwanamke anachaguliwa kwenye kiti kilichoaminika kumilikiwa na wanaume.

    Sophia Noor aliyekuwa Mbunge mteuliwa kupitia chama cha ODM, ndiye mbunge wa Ijara, Garissa, mwanamke wa kwanza kuwahi kuwa mbuge kaskazini mashariki.

    Lakini ingawa wanawake katika Bunge la 12 bado ni wachache, waliongezeka wasita kutoka kwa waliochaguliwa 16 katika uchaguzi wa mwaka 2013.

    Sabini Chege aliapishwa jana, kama Mbunge wa Kaunti ya Murang'a na, wengine wengi ikiwa ni pamoja na mwandishi wa habari wa zamani Naisula Lesuuda, ambaye alikuwa seneta mteuliwa, alipata kiti cha Ubunge cha Magharibi Samburu akiwa pia mwanamke wa kwanza kuchanguliwa kutoka kwa Jamii hiyo.

    Wabunge wateuliwa pia wana nafasi kubwa kuchanguliwa mwaka wa 2022, kwa kuwa watakuwa wamejifunza mambo mengine wakiwa mbungeni.

    Hata hivyo chama cha Jubilee bado kimebakia kubeba wa Bunge wengi katika Bunge la 12 la Taifa ambayo ni wanachama 199 wakati NASA ina wanachama 127.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako