• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Meli ya hospitali ya jeshi la China "Peace Ark" yaelekea Hispania

  (GMT+08:00) 2017-09-01 10:38:09

  Meli ya hospitali ya jeshi la majini la China "Peace Ark" imefunga safari kuelekea Hispania baada ya kukamilisha ziara ya siku tisa nchini Djibouti, na kutoa huduma za matibabu bila malipo kwa watu wa nchi hiyo. Akikutana na kamanda wa meli hiyo Bw. Guang Bolin, mnadhimu mkuu wa jeshi la Djibouti luteni jenerali Zakaria, amesema meli ya hospitali ya Peace Ark kuzuru tena nchini Djibouti, kuna umuhimu mkubwa, na kunaonesha nia ya serikali ya China na jeshi lake kuisaidia Djibouti, na urafiki mkubwa kati ya watu wa nchi hizo mbili.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako