• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mahakama kuu ya Kenya yafuta matokeo ya uchaguzi wa rais

  (GMT+08:00) 2017-09-01 18:05:32
  Mahakama kuu ya Kenya leo imefuta matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika tarehe 8 Agosti na kuamuru uchaguzi mpya wa urais ufanyike ndani ya siku 60.

  Jaji mkuu wa Kenya David Maraga amesema uchaguzi uliompa ushindi rais wa sasa Uhuru Kenyatta ulikuwa na dosari nyingi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako