• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Russia atoa makala kuhusu ushirikiano wa nchi za BRICS katika siku zijazo

    (GMT+08:00) 2017-09-01 18:46:09

    Mkutano wa wakuu wa Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini BRICS utafanyika mjini Xiamen, China.

    Rais Vladmir Putin wa Russia ametoa makala akieleza maoni yake kuhusu ushirikiano wa nchi za BRICS katika siku zijazo. Kwenye makala hiyo yenye kichwa "Nchi za BRICS—kuanzisha maono mapya ya uhusiano wa wenzi wa kimkakati", rais Putin amesema kazi yenye ufanisi mkubwa ya China imeziwezesha nchi za BRICS kupata maendeleo makubwa kwa pamoja kwenye mambo ya siasa, uchumi na utamaduni, na hadhi ya nchi hizo duniani imeinuliwa kwa kiasi kikubwa. Amesema jambo muhimu ni kwamba ushirikiano kati ya nchi hizo unafanyika kwenye msingi wa usawa, kuheshimiana, na kufuatilia maoni ya upande nyingine.

    Rais Putin amesema anaamini kwamba mkutano utakaofanyika mjini Xiamen utazihimiza nchi za BRICS kukabiliana na changamoto za karne hii na kuinua ushirikiano kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako