• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Bidhaa za vyakula na umeme zapanda bei Kenya

    (GMT+08:00) 2017-09-01 20:06:09

    Kupanda kwa bei za bidhaa za chakula na umeme katika mwezi wa Agosti nchini Kenya kumesababisha mfumko wa bei kufikia asilimia 8.04. Takwimu za kituo cha data nchini humo zinaonyesha kwamba mfumko wa bei umeongezeka kwa asilimia 0.61

    Nyanya ambazo hutumiwa kwa wingi kila siku zilipanda bei hadi shilling 98 kwa kilo moja kutoka Shilingi 86 za mwezi Juali.

    Bidhaa nyingine zilizopanda bei ni pampja na Karoti kwa asiimia 49, mahindi asilimia 36 na mchele asilimia 36.

    Aidha katika mwezi Agosti bei ya umeme imepanda kwa asilimia 89 huku kilowati 200 za umeme zikigharimu 3,944 ikilinganishwa na 2,078 mwaka jana kipindi sawa na hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako