• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sheria ya kwanza ya usalama wa nyuklia ya China kutekelezwa mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2017-09-02 18:13:09

    Mkutano wa 29 wa kamati ya 12 ya bunge la umma la China jana ulipitia sheria ya usalama wa nyuklia ya China. Sheria hiyo itakayotekelezwa rasmi tarehe 1 mwezi Januari mwaka 2018 itakuwa na uhumimu mkubwa kwa maendeleo ya sekta ya nishati ya nyuklia ya China na kulinda usalama wa nyuklia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako