• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la viwanda na biashara la BRICS kufunguliwa

    (GMT+08:00) 2017-09-03 15:09:43

    Kongamano la viwanda na biashara kati ya nchi za BRICS litafunguliwa leo alasiri mjini Xiamen, China. Rais Xi Jinping wa China atahutubia ufunguzi wa kongamano hilo, na kukumbusha historia ya mfumo wa BRICS, na kujumuisha uzoefu wa ushirikiano kati ya nchi wanachama wake, na kutupilia macho mustakabali wa mfumo huo. Viongozi wa nchi kadhaa zikiwemo rais Michel Temer wa Brazil na rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini watahudhuria kongamano hilo, na watatoa hotuba au kujiunga na majadiliano. Rais Meter na rais Zuma pia wanatarajiwa kuhudhuria ufunguzi wa kongamano hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako