• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya biashara kati ya nchi za BRICS zakaribia dola bilioni 300

    (GMT+08:00) 2017-09-03 15:12:54

    Takwimu zinaonesha kuwa mwaka 2016, thamani ya biashara kati ya nchi tano wanachama wa BRICS ilikuwa karibu bilioni 300.

    Hadi sasa thamani ya uchumi wa nchi hizo ni asilimia 23 ya dunia nzima, thamani ya biashara na nchi nyingine duniani ni asilimia 16, uwekezaji katika nchi nyingine duniani ni asilimia 12, na nchi hizo tano zimechangia asilimia 50 ya ongezeko la uchumi wa dunia.

    Wataalamu wanatarajia kuwa hadi kufikia mwaka 2020, thamani ya uchumi wa nchi za BRICS itakuwa asilimia 25 ya dunia nzima, na kuwa injin muhimu ya kuendeleza uchumi wa dunia, na hadi mwaka 2030, uchumi wa nchi hizo utakuwa mkubwa zaidi kuliko nchi saba za magharibi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako