• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China ina imani na mustakabali wa BRICS

    (GMT+08:00) 2017-09-03 16:32:21

    Rais Xi Jinping wa China alipohutubia ufunguzi wa kongamano wa viwanda na biashara kati ya nchi za BRICS amesema, hivi leo baadhi ya watu wanaona uchumi wa nchi za BRICS hautaweza kuibuka tena duniani baada ya kupungua kwa kasi ya ongezeo la uchumi wa nchi hizo. Anakubali nchi za BRICS zinakabiliwa na changamoto kiuchumi kutokana na hali ya kutatanisha ya ndani na duniani, lakini ana imani kuwa mwelekeo na uwezo wao wa kujiendeleza siku hadi siku haujabadilika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako