• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa China na Russia wakutana

    (GMT+08:00) 2017-09-03 19:39:56

    Rais Xi Jinping wa China leo mjini Xiamen, China amekutana na wenzake wa Russia Vladimir Putin, ambaye yupo China kuhudhuria kongamano la viwanda na biashara kati ya nchi za BRICS.

    Rais Xi ametoa wito wa kufanya juhudi za pamoja ili kuhimiza amani na maendeleo duniani.

    Hii ni mara ya nne kwa viongozi hao kukutana mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako